Ripoti ya uwajibikaji - Serikali Kuu na Mashirika ya Umma
|
Ripoti ya uwajibikaji - Serikali Kuu na Mashirika ya Umma
Category: Accountability reports
Summary:
Ripoti ya Uwajibikaji ya Serikali Kuu na Mashirika ya Umma imeandaliwa kutokana na ripoti za
ukaguzi za Serikali Kuu na Mashirika ya Umma za mwaka 2018/19 zilizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
|