Jarida la uwajibikaji la robo ya pili ya mwaka 2020
|
Jarida la uwajibikaji la robo ya pili ya mwaka 2020
Category: Newsletter
Summary:
Katika kipindi cha miezi michache tu iliyopita,
hakuna aliyebashiri kwamba dunia itakuwa
katika hali hii ya ugonjwa wa Korona. Serikali
mbalimbali duniani na taasisi nyingine zilipanga
mambo yake kana kwamba mambo yatakuwa kama
yalivyokuwa mwaka jana na miaka mingine iliyopita.
|